MAFUNZO KWA WADAU WA KUKABILIANA NA MAAFA JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA ZDMIS

Mkurugenzi Mtendaji Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Ndg: Makame Khatib Makame akiongoza mafunzo ya wadau juu ya matumizi ya mfumo wa ZDMIS yaliyofanyika katika ukumbi wa Kamisheni Maruhubi Zanzibar.