|
ZANZIBAR DISASTER MANAGEMENT COMMISSION |
![]() |
|---|
TAHADHARI JUU YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA |
|---|
|
Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa inaendelea kutoa tahadhari kwa wananchi wanaoishi pembezoni mwa maeneo yanayotuama maji Kuhama hasa katika kipindi hichi cha Mvua zinazoendelea kunyesha. |