KIKAO CHA KUJADILI MUOLEKEO WA MVUA ZA MASIKA

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Ndg. Salhina Mwita Ameir akifungua Kikao cha Wadadu mbalimbali wa kukabiliana na Maafa kujadili muelekeo wa Mvua za Masika 2023 na hatua za kuchukuliwa. (picha na Abubakar M. Ibrahim Kamisheni ya Kukabiliana na maafa).